TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Kilimo
anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi
tatu(03) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.
MWAJIRI:WIZARA YA KILIMO
Click here DOWNLOAD PDF
0 Comments