Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
NB:(i)Kwa kada zote zitazofanyia usaili Zanzibar,usaili wa mahojiano utafanyika katika CHUO CHA UTALII MARUHUBI -UNGUJA, ZANZIBAR
(ii)Kwa kada za TAX MANAGEMENT OFFICER II,CUSTOMS OFFICER II,TAX MANAGEMENT ASSISTANT II,CUSTOMS ASSISTANT II na RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II zitakazofanyia usaili Dodoma,usaili umepangwa kufanyika ‘LECTURE ROOMS-COLLEGE OF SOCIAL SCIENCE’ katika CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)
(iii) Kwa Kada nyingine zitafanya usaili kama ilivyoelekezwa kwenye Tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili
Aidha;
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao
0 Comments