TANGAZO LA KAZI ; MTHAMINI II(VALUER II) - NAFASI 28




APPLY

POST

MTHAMINI II(VALUER II) - 28 POST

EMPLOYER

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE:

2023-11-03 2023-11-16

JOB SUMMARY

NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  i.   Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi;

 

ii.    Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta; na

 

iii.   Kufanya kazi nyingine kadiri atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

  •        Kuajiriwa wenye Shahada/Stahahada ya juu katika fani ya “Land Management and Valuation” kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali katika fani za Usimamizi Ardhi na Uthamini au
  • Kuajiriwa wenye cheti cha NCPS katika fani ya Usimamizi Ardhi na Uthamini

Post a Comment

0 Comments